Picha na Video:Raisi Jakaya Kikwete Amuapisha George Wasaju Kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya Jaji Werema Kujiuzulu Wadhifa Wake

Mwanasheria
Mkuu wa Serikali aliyekuwa akisubiri kuapishwa, George Mcheche,
akizungumza jambo na viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, wakati wa
hafl hiyo.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
(wa kwanza kutoka kulia) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Spika wa Bunge la
Jamhuri, Anne Makindajaji Mkuu, Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande
Othuman, Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose
Migiro na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Mcheche, aliyeteuliwa,
wakiwa katia ukumbi wakisubiri zoezi hilo la kuapishwa.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimwapisha
George Mcheche, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam,jana mchana.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akisaini
nyaraka wakati wa hafla fupi ya kumwapisha, George Mcheche, kuwa
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kwenye hafla hiyo iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam,jana mchana.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimkabidhi
nyaraka za Serikali, George Mcheche, baada ya kumwapisha kuwa
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam,jana mchana.

Baadhi ya viongozi waliohudhuria hafla hiyo
No comments:
Post a Comment