Chipukizi
wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa katika mazoezi ya gwari, karate na
halaiki kwenye Uwanja wa Majimaji Mjini Songea, leo wakati wa maandalizi
ya maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM yanayofanyika kitaifa
kesho Mkoani Ruvuma ambapo mgeni rasmi atakuwa Mwenyekiti wa chama
hicho, Rais Jakaya Kikwete.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA
MATUKIO BLOG
Katibu
wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa
habari, kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea, baada ya kukagua
mazoezi ya halaiki ya Chipukizi wa CCM.
MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM YAKAMILIKA SONGEA
Reviewed by
crispaseve
on
9:25 PM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment