Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara afunga kikao kazi cha Maafisa Mawasiliano

Baadhi ya Maafisa Mawasiliano wa Serikali
wakiwa katika picha ya Pamoja na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara Bw. Bw.Johansen
Bukwari (aliyevaa Kaunda suti) kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Idara ya
Habari(MAELEZO) Bw. Assah Mwambene. Picha
na Hassan Silayo.

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara
Bw.Johansen Bukwari akiongea na Maafisa Mawasiliano Serikalini ambapo
alisisitiza umuhimu wa Maafisa Mawasiliano kutoa taarifa za Serikali kwa Umma.

Mwenyekiti wa Muda wa Chama cha Maafisa
Mawasiliano Serikalini(TAGCO) Bw. Innocent Mungy akitoaa taarifa futi ya
utekelezaji wa kazi wa chama hicho kwa Maafisa Mawasiliano wakati wa ufungaji
wa kikao kazi cha Maafisa ha oleo Mkoani Mtwara.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiwaeleza Maafisa Mawasiliano
Serikalini umuhimu wa kuwa na ushirikiano na vyombo vya Habari kwa dhumuni la
kuieleza jamii nini serikali inakifanya, pia aliwataka kuendelea kuongeza
juhudi katika utendaji kazi kupitia mafunzo waliyoyapata katika kikao kazi
hiki.
No comments:
Post a Comment