MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO


Rais
wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akiwasili
kwenye uwanja wa Aman tayari maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya
Mapinduzi ya Zanzibar leo Januari 12, 2015.

Rais
wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akipokea
salamu za kijeshi mara baada ya kuwasili kwenye uwanjwa wa Aman tayari
maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo Januari
12, 2015.

Rais
wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akikagua
gwaride la vikosi mbali mbali vya kijeshi wakati wa maadhimisho ya
sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar,yaliyofanyika leo Januari
12, 2015 kwenye uwanja wa Amani,Zanzibar.

Rais
wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akihutubia
wananchi wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya
Zanzibar,yaliyofanyika leo Januari 12, 2015 kwenye uwanja wa
Amani,Zanzibar.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimpongeza Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed
Shein kwa hotuba yake nzuri aliyoitoa kwenye maadhimisho ya sherehe za
miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar,yaliyofanyika leo Januari 12, 2015
kwenye uwanja wa Amani,Zanzibar.
No comments:
Post a Comment