RIDHIWANI AZINDUA VYUMBA VYA MADARASA SHULE YA MAGEREZA YA BWAWANI
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akikata utepe kuzindua
rasmi jengo la vyumba vya madarasa katika Shule ya Sekondari ya Bwawani
katika Kijiji cha Visakazi Jimbo la Chalinze. Shule hiyo inamilikiwa na
Jeshi la Magereza.
Ridhiwani akiwa na maofisa wa jeshi hilo Kaimu Mkuu wa Magereza,
Emmanuel Lwinga na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Kato
Luganunulauu
Ridhiwani akihutubia wakati wa hafla hiyo. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa
Shule hiyo,Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Emmanuel Lwinga na Kamishna
Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Kato Luganunula
Ridhiwani akiwa amekaa katika moja ya madawati yaliyomo katika moja ya vyumba vipya vya madarasa
Ridhiwani akikagua jengo hilo jipya
No comments:
Post a Comment