Sehemu ya umati wa wananchi wakisikiliza kwa makini wakati Kinana akihutubia
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano wa hadhara
ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kuwapongeza wananchi kuwachagua
viongozi wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyka nchini
kote Desemba 14 mwaka jana. CCM imepata ushindi wa asilimia 81 nchi
nzima.
Kinana
amesema maeneo yote ambayo upinzania wameshinda na ushindi
uliosababishwa na baadhi ya wana CCM NA ENDAPO WATAGUNDULIKA WAMEFANYA
KUSUDI KUKIKOSESHA USHINDI CHAMA WATAWAJIBISHWA.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano wa hadhara
ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kuwapongeza wananchi kuwachagua
viongozi wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyka nchini
kote Desemba 14 mwaka jana. CCM imepata ushindi wa asilimia 81 nchi
nzima.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano wa hadhara
ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kuwapongeza wananchi kuwachagua
viongozi wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyka nchini
kote Desemba 14 mwaka jana. CCM imepata ushindi wa asilimia 81 nchi
nzima.
Kinana
akisalimiana na wananchi wa Tanga, wakati akiingia kwenye mkutano huo
wa hadhara kwenye Uwanja wa Tangamano jijini Tanga. Tanga imekuwa ya
pili nchini kwa kwa kushinda uchaguzi huo kwa asilimia 97 ambapo ya
kwanza ni Mkoa wa Iringa ulioshinda kwa asilimia 98.
Kinana akipanda jukwaani kuhutubia.
Mmoja wa wafuasi wa CCM akishangilia kwa furaha hotuba ya Kinana
Ni furaha kubwa kwa wana CCM
Aliyekuwa
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Kata ya Pongwe, Mbaraka Saad
Mbaraka akipokea kadi ya CCM kutoka kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana baada ya kutangaza kuihama CUF na kujiunga na CCM pamoja na
wanachama wengine 200.
Kiongozi
wa kikundi cha Taarabu cha Jahazi, Mzee Yusufu akifanya mambo alipokuwa
akitumbuiza katikamkutano huo wa kushangilia ushindi wa CCM
Mzee Yusufu akionesha umahiri wake
Kikundi cha Jahazi kikishambulia jukwaa na kukonga nyoyo za wapenzi na wafuasi wa CCM
Mbunge wa Jimbo la Bumburi, January Makamba akimpongeza msaniii Mzee Yusufu
KINANA AHUTUBIA MKUTANO MKUBWA TANGA,AWASHUKURU WATANZANIA KUIPATIA CCM USHINDI MKUBWA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Reviewed by
crispaseve
on
5:29 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment