FUNGA MWAKA YA JUMUIYA DMV YAFANA
Aliyekuwa
mwakilishi wa Diaspora bunge la katiba Mhe. Kadari Singo akielezea
shughuli za bunge hilo na jinsi gani alivyopigana kutetea swala la uraia
pacha huku akiwasihi wanaDiaspora kubadili mtizamo wao kwa nchi yao.
Mwakilishi
wa maswala ya uhamiaji Bi. Fatmata Barrier akifafanua sera ya uhamiaji
ya Obama kuhusiana na kutoa vibali vya kazi kwa wasiokua na makaratasi
kwenye sherehe ya mkesha ya Jumuiya ya Watanzania DMV iliyofanyika
Lanham, Maryland Jumamosi Desemba 31, 2014.
Mgeni
Rasmi Balozi wa African Union Mhe. Amina Salum Ali (wapili kushoto)
akiwa pamoja na Balozi Mstaafu Mhe. Mustafa Nyang;anyi, Rais wa Jumuiya
ya Wanzania DMV bwn. Iddi Sandaly na Mkuu wa Utawala na Fedha Ubalozi wa
Tanzania nchini Marekani Mama Lily Munanka.
Watanzania
wakifuatialia wasemaji wa maswala mbalimbali yakiwemo maswala ya bunge
la katiba na maswla ua uhamijai kwenye sherehe ya kuaga mwaka 2014 na
kuukaribisha mwaka 2015 iliyofanyika ndani ya ukumbi wa Oxford Center
uliopo Lanham, Maryland.
Mwenyekiti
wa CCM tawi la DMV bwn. George Sebo akiwa na mkewe Aunty Grace(kulia)
wakiwa na wageni wao kwenye sherehe ya Jumuiya ya Watanzania DMV ya
kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka 2015 iliyofanyia Lnham Maryland
nchini Marekani.
Bwn. Jacob Kinyemi na mama mwenye nyumba wake na wakijumuika na wanajumuia wengine katika kusherehekea kuukaribisha mwaka 2015.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment