Header Ads

ABIRIA 57 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA BASI NCHINI PAKISTAN

Pakistan Bus Accident-4Watu 57 wamehofiwa kupoteza maisha baada ya basi la abiria kugongana na lori la kusafirisha mafuta  katika eneo la kusini mwa nchi ya Pakistan.
Madaktari katika hospitali kuu ya Karachi wameeleza kuwa miili ya watu hao imeteketea kabisa kwa moto na itaweza kutambuliwa kwa kutumia teknolojia ya DNA.
Waziri wa mawasiliano wa Pakistan ameeleza kuwa ajali hiyo imetokea kilometa 15 nje ya jiji la Karachi.
Pakistan Bus Accident-2
1420988392252 afp-at-least-57-people-killed-in-fiery-pakistan-bus-oil-tanker-crash   pakistan-bus-crash

No comments:

Powered by Blogger.