RIDHIWANI AANZA KUTIMIZA AHADI, AWASHUKURU WANANCHI KWA KUMCHAGUA CHALINZE
Mbunge
wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akimkabidhi Diwani wa Kata ya
Miono. Senguli Mbele moja kati ya matairi manne aliyonunua kwa ajili ya
gari la kubebea wagonjwa katika Kituo cha Afya cha Miono, wakati wa
mkutano wa kuwashukuru wananchi kwa kumchagua miezi sita iliyopita.
Mkutano huo ulifanyika jana katika Kata ya Miono, Chalinze, wilayani
Bagamoyo, Pwani.
Wananchi wakiwa kwenye mkutano huo.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mmasai
mwenye jamii ya kifugaji Andokela Okunge akiuliza swali kwa Mbunge
Ridhiwani kuhsu Jamii sivyowaendea haki wafugaji ambapo alidai kuwa
mkulima anaweza kuuzi shamba halafu baadaye anageuka na kusema
amedhulumia jambo ambalo si kweli.
No comments:
Post a Comment