Header Ads

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli CCM Edward Lowassa Amjulia Hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora Paul Ruzoka katika hospitali ya TMJ alikokwenda kufanyiwa vipimo kufuatia ajali aliyoipata Igunga Mkoani Tabora.


Waziri mkuu mstaafu  na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimjulia hali  jana Askofu Mkuu Katoliki jimbo Kuu la Tabora Paul Ruzoka katika hospitali ya TMJ alikokwenda kufanyiwa vipimo kufuatia ajali aliyoipata Igunga Mkoani Tabora. Mwenye shati jeupe ni Askofu Josephat Gwajima.

No comments:

Powered by Blogger.