Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Edward Lowassa Amtembelea Waziri wa Mambo ya Ndani wa zamani,Ali Ameir Mohamed nyumbani kwake eneo la Kichaviani, Jimbo la Donge, Zanzibar
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward
Lowassa (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani wa zamani,Mh. Ali
Ameir Mohamed wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kichaviani, Jimbo la
Donge, Zanzibar.Mh. Lowassa yuko visiwani Zanzibar kwa mapumziko ya Krismasi.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward
Lowassa (kushoto) akielezwa jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani wa zamani,Mh. Ali
Ameir Mohamed wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kichaviani, Jimbo la
Donge, Zanzibar.Mh. Lowassa yuko visiwani humo kwa ajili ya mapumziko ya
Krismasi.
No comments:
Post a Comment