Washindi wa Maonesho ya Keki Wapatikana Dar.
Baadhi ya wananchi waliotembelea Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' wakipita kuangalia keki.
Majaji wa Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' watipita
kukagua, kupata maelezo ya watengenezaji wa keki hizo kabla ya kuwapata
washindi. Baadhi ya wananchi waliotembelea Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' wakipita kuangalia keki
Marion Elias Mkurugenzi wa Kampuni ya Insights Productions Limited,
ambaye pia Mratibu wa Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition'
akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) katika maonesho hayo.
Majaji wa Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' watipita
kukagua, kupata maelezo ya watengenezaji wa keki hizo kabla ya kuwapata
washindi.

Keki mbalimbali zilizoshiriki katika Maonesho ya 'Azam World of Cakes
Exhibition' yaliofanyika katika Hoteli ya Serena ya jijini Dar es
Salaam.

No comments:
Post a Comment