Vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakutana Arusha kujadili Sera ya Vijana wa EAC
Bi. Stella Massekwe kutoka Uganda akitoa mchango wake kuhusu
masuala mbalimbali yaliyozungumzwa wakati wa mkutano wa kwanza wa Vijana wa EAC
kuhusu Sera ya Vijana wa EAC unaoendelea makao makuu ya Jumuiya ya Afrika
Mashariki Jijini Arusha Tanzania, Kushoto ni kijana Baraka Chelego kutoka
Tanzania.
Mbunge kutoka Kenya Mhe. David Ocheng
akitoa hotuba wakati wa mkutano wa kwanza wa Vijana wa EAC kuhusu Sera ya
Vijana wa EAC unaoendelea makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini
Arusha Tanzania.
Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Mhe. Jesca
Eriyo (kushoto) akitoa mada wakati wa mkutano wa kwanza wa Vijana wa EAC kuhusu
Sera ya Vijana wa EAC unaoendelea makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
Jijini Arusha Tanzania. Kulia ni mwenyekiti wa Mkutano huo ambaye ni
Mwanasheria wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Ester Riwa.
Mmoja wa vijana kutoka Uganda Bi. Helena
Okiring akichangia wakati wa mkutano wa kwanza wa Vijana wa EAC kuhusu Sera ya
Vijana wa EAC unaoendelea makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini
Arusha Tanzania.
Baadhi ya Vijana kutoka nchi za Jumuiya ya
Afrika Mashariki (EAC) ambazo ni Tanzania bara na visiwani, Kenya, Uganda,
Rwanda na Burundi wakifuatilia matukio yaliyokua yanaendelea wakati wa mkutano
wa kwanza wa Vijana wa EAC kuhusu Sera ya Vijana wa EAC unaoendelea makao makuu
ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini Arusha Tanzania.
Picha
na: Genofeva Matemu - Maelezo.
No comments:
Post a Comment