Header Ads

STEVE NYERERE AUNGANA NA TWANGA PEPETA KUCHANGISHA RAMBIRAMBI ZA MAZISHI YA AISHA MADINDA





Aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere 'Steve Nyerere'(kulia) na Luiza Mbutu (katikati) wakihesabu michango iliyopokelewa kwa njia ya simu katika Hospitali ya Mwanayamala jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mnenguaji wa kitambo, Lilian Intanet.

No comments:

Powered by Blogger.