Balozi wa Tanzania nchini Austria Philip Marmo Akabidhi Hati za Utambulisho Kwa Raisi wa Austria

Balozi wa Tanzania nchini Austria ambaye ana makazi mjini
Berlin, Ujerumani Mhe. Philip S. Marmo akipokea heshima kutoka Gwaride
rasmi kwa ajili ya Balozi huyo ambalo katika hafla ambayo iliendeshwa
katika viwanja vya Hofburg.

Balozi wa Tanzania nchini Austria ambaye ana makazi mjini
Berlin, Ujerumani Mhe. Philip S. Marmo; mapema mwezi huu alikabidhi Hati
za Utambulisho (Letter of Credence) kwa Mhe. Dkt. Heinz Fischer, Rais
wa Austria. Shughuli hizi zilifanyika katika ukumbi maarufu wa Maria
Teresa uliopo katika kasri ya wafalme wa zamani wa “Austro-Hungarian
Empire” mjini Vienna. Gwaride rasmi kwa ajili ya Balozi mpya iliendeshwa
katika viwanja vya Hofburg.
No comments:
Post a Comment