Soma Kauli ya Aliyekua Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Prof. Anna Tibaijuka Baada ya Rais Jakaya Kikwete Kutengua Uteuzi Wake
Aliyekua Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Profesa Anna Tibaijuka
--
[Baadhi
ya] Wananchi mkoani Kagera wamepinga uamuzi wa Rais wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete kwa kumuondoa madarakani
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi na kuwaweka kiporo viongozi wengine
walioshiri kuhujumu pesa za akaunti ya Tegeta Escrow.
Nao
baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya mkoa huo akiwemo Katibu wa
Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kagera, Hamim Mahamoud
amepongeza uamuzi wa Rais alioutoa jana kwa kumuondoa kiongozi huyo.
No comments:
Post a Comment