PICHA RASMI KUTOKA IKULU:RAIS JAKAYA KIKWETE AMUAPISHA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI LEO IKULU

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad baada ya kumuapisha Ikulu jijini
Dar es salaam leo Desemba 2, 2014

Rais Jakaya Mrisho kikwete akimuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuun wa
Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo
Disemba 2, 2014

Rais
Jakaya Mrisho kikwete akimuangalia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali
(CAG) Profesa Musa Juma Assad akiweka sahihi yake kwenye nyaraka baada
ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 2, 2014

Rais Jakaya Mrisho kikwete akitia sahihi yake kwenye nyaraka baada ya
kumuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma
Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Dec 2, 2014

Rais
Jakaya Mrisho kikwete akimkabidhi vitendea kazi baada ya kumuapisha
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu
jijini Dar es salaam leo Dec 2, 2014

Rais
Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali
(CAG) Profesa Musa Juma Assad na CAG Mstaafu Bw. Ludovick Utouh Ikulu
jijini Dar es salaam leo Dec 2, 2014
No comments:
Post a Comment