Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Zitto Kabwe Aliposhiriki Sherehe Za Kuapishwa Kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu mpya wa Hesabu za Serikali Prof. Musa Juma Assad IKULU Jijini Dar es Salaam

Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mh. Zitto Kabwe akisalimiana
na Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya wakati wa hafla fupi ya kuapishwa Mdhibiti
na Mkaguzi Mkuu mpya wa Hesabu za Serikali Ikulu jijini Dar es salaam.Picha na Aron msigwa
No comments:
Post a Comment