Maalim Hassan Hussein, ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mtabiri maarufu nchini, marehemu Sheikh Yahya Hussein, ametabiri mambo 18 yatakayotokea mwakani, likiwamo la kufariki ghafla kwa kiongozi mmoja mzee ambaye yumo kwenye mbio za urais mwakani.

Maalim Hassan Hussein (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaama jana. Picha na Salim Shao
--
Maalim Hassan Hussein, ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mtabiri
maarufu nchini, marehemu Sheikh Yahya Hussein, ametabiri mambo 18
yatakayotokea mwakani, likiwamo la kufariki ghafla kwa kiongozi mmoja
mzee ambaye yumo kwenye mbio za urais mwakani.
Hussein alisema jana kuwa kiongozi huyo atadondoka
ghafla kwenye jukwaa na kufariki dunia wakati akipelekwa
hospitali.Akitangaza utabiri wa mwakani, alisema: “Kiongozi huyo atakufa
wakati akipelekwa hospitalini.”
Alisema pia mwandishi mmoja mashuhuri nchini
atakufa kifo chenye utata kitakachoitesa Serikali na familia yake katika
kutafuta sababu za kifo chake.Mtabiri huyo alisema nyota inaonyesha kwamba misiba miwili ya kitaifa itatokea mwakani.
No comments:
Post a Comment