KATIBU WA CCM MKOANI IRINGA AWAONYA WANAVYUO KUJIHUSISHA NA MASWALA YA SIASA
katibu wa chama cha mapinduzi mkoani iringa HASSANI MTENGA akiwahutubia wananchi wa mataa wa semtema mjini iringa
wananchi wa mtaa wa semtema wakimsikiliza katibu wa ccm mkoa HASSAN MTENGA

hapa wakiwa makini wakisikiliza maneno matamu wakati wa mkutano huo

Na Fredy Mgunda, Iringa.
Katibu wa
Chama cha Mapinduzi CCM mkoani Iringa HASSANI MTENGA, amefungua rasmi kampeni
za uchaguzi wa Serikali za mitaa katika mtaa wa semtema mkoani iringa.
Akiwahutubia mamia ya wananchi wa mtaa wa semtema MTENGA aliwataka wananchi wa eneo hilo kuwa makini wakati wa kuchagua kiongozi katika uchaguzi utakao fanyika tarehe 14/12/2014.
MTENGA alisema kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi na watu binafsi kwa kuwa kila maendeleo yanaanzi chini ndio yanaenda juu,hivyo wananchi wanatakiwa kuwa makini sana na kumchagua kiongozi anayefaa.
aidha MTENGA aliwataka wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani iringa kuacha kuiga siasa chafu ambazo waiga kutoka kwa wapinzani wao kwa kuwa wanaiga kitu ambacho hawakijua ambacho kitawaletea madhara baadae.
alisema kuwa IRINGA ni ya watu wa iringa hivyo kuwaambia wanafunzi wa vyuo vyote mkoani iringa kuwaachia siasa wana iringa na wao waendelee na walicho kifuata hapa na sio isasa.
kwa upande wake wanafunzi waliohudhuria mkutano huo walimsifu katibu huyo wa chama cha mapinduzi kwa kuwa na sera zinazotekeleza na kuwaambia ukweli vijana waliopo vyuoni kwqa kuwa wananfunzi wengi wamekuwa wakiiga mambo mengi bila kujua nini kipo mbele yao.

lakini
wananchi waliojitokeza eneo hilo walimuita katibu huyo kwa jina dawa ya
muarobaini kwa maneno aliyoyatoa katika mkutano huo na kumsifu kiongozi
huyo kuwa ni kiongozi ayefaa kuigwa hapa mkoani iringa.
pia
kunabaadhi ya wananchi walisikika wakisema kwa sera za katibu MTENGA
mbunge wa jimbo la iringa mjini atake asitake ataondoka tu na kumwomba
aanze kukusanya kilicho chake.

No comments:
Post a Comment