Header Ads

KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA ALIPOKAGUA MAABARA YENYE UBORA WA NYOTA MBILI HOSPITALI YA RUFAA MTWARA


 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitembelea maabara yenye ubora wa nyota 2 katika Hospitali ya Mkoa ya Rufaa ya Mtwara juzi.
 Kinana akiendelea kupata maelezo kuhusu mashine zinazopima magonwa mbalimbali katika hospitali hiyo ya Mtwara

No comments:

Powered by Blogger.