WAFAMASIA ZANZIBAR WAFUNZWA MIFUMO MIPYA YA UTEKELEZAJI WA KAZI ZAO KATIKA MAFUNZO YALIYOFANYIKA HOTELI YA MAZSONS, SHANGANI.
Mkufunzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wafamiasia wa vituo vya afya Zanzibar
Ali Shaaban akitoa neno la shukrani kwa wanafunzi wake (hawapo pichani) wakati
wa kuyafunga mafunzo hayo katika Hoteli ya Masons, Shangani Mjini Zanzibar.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya wafamasia wakifuatilia ufungaji wa mafunzo
yao yaliyochukua sita tano katika Hoteli ya Mazsons, Shangani.
Mkurugenzi bohari kuu ya dawa Zanzibar Zahran Ali akimkabidhi cheti kwa mfamasia
Issa Ahmada kutoka kituo cha afya cha Jambiani baada ya kumaliza mafunzo
yaliyofanyika Hoteli ya Mazsons, Shangani.
Mkurugenzi wa Bohari kuu ya dawa Zanzibar Zahrani Ali akizungumza na washiriki
wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wafamasia wakati wa kuyafunga mafunzo hayo
katika Hoteli ya Mzsons, Shangani.
Picha ya pamoja ya washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wafamasia na
wakufunzi wao baada ya kumaliza mafunzo yao katika Hoteli ya Mazsons, Shangani.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment