MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AENDELEA KUTEKELEZA ILANI YA CCM
Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akiongea ofisini kwake wakati
akikabidhi Vifaa mbalimbali kwa wananchi wa Jimbo la Morogoro Mjini
Ikiwa ni Utekelezaji wa Ahadi zake alizotoa Kipindi Akiomba kura ya Kuwa
Mbunge wa Jimbo Hilo Pamoja za Ahadi anazotoa kwenye Mfululizo wa Ziara
zake anazofanya Mara kwa mara katika Kata Mbalimbali za Jimbo la
Morogoro Mjini.
Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood akikabidhi Mboa kwa Viongozi
wa Msikiti kwajili ya Kumalizia ujenzi wa Msikiti ikiwa ni ahadi
aliyoitoa wakati wa ziara zake za mara kwa mara.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akikabidhi Tani 2O za
Saruji kwa viongozi wa Kanisa la agae la Mjini Morogoro Kwajili ya
kufanikisha Ujenzi wa Kanisa Hilo.
Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akimkabidhi Tank la Maji
Diwani wa kata ya Bigwa kwa niaba ya wakati wa kata hiyo Ili kutatua
kereo ya Maji katiaka kata hiyo

Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akikabidhi Hundi ya Shilingi
Laki Tano kwa kikundi cha wa mam wajasiriali Kutoka kata ya Kihonda
Magorofani

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikabidhi Hundi

Katika
Shuguli yake ya kukabidhi Vifaa mbalimbali Mh Abood alikabidhi vifaa
vyenye Jumla ya Shilingi Milioni 1756OOOO/= Katika vikundi Mbalimbali
vya Wajasiriamali,Vya Kidini kutoka kata za Jimbo la Morogoro
Mjini.Baadhi ya Vifaa alivyokabidhi Mh Abood ni amoja na Matofali
,Vifyuko ya cement,Mabati Mbao na Hundi.
Akielezea
zaidi Mh Abood alisema Maka sasa ameweza Kuchimba Visima 24 Kati ya 36
Vitakavyogharimu Kiasi cha Shilingi Milioni 365. Karibu kata Zote za
Manisaa ya Morogoro Kwasasa Zina Kisima Kwajili ya kutatua changamaoto
Kubwa ya maji inayowakumba wakazi wa Jimbo la Morogoro Mjini.
Akielezea zaidi Mh Abood Alisema Anapambana usiku na Mchana kutatua Kero Zote zinazowakumba wananchi wa Jimbo la Morogoro Mjini..
Akielezea zaidi Mh Abood Alisema Anapambana usiku na Mchana kutatua Kero Zote zinazowakumba wananchi wa Jimbo la Morogoro Mjini..
Akielezea
Utekelezaji wa Ilani ya CCM pamoja na Ahadi zake alizotoa kwa wananchi
wa jimbo la Morogoro Mjini Mh Abood Amesema karibu ahadi zake zote
alizoahidi Amezitekeleza ,Amewaomba wakati wa manisaa ya Morogoro
Kushikiana nae Bega kwa Bega katika kutekeleza Ilani ya Chama cha
Mainduzi.
No comments:
Post a Comment