Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana Taifa la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Julius Mwita akimkabidhi kadi ya chadema, Mwenyekiti wa Kijiji cha Udomo Kata ya Uchama Jimbo na Wilaya ya Bukene mkoani Tabora, Julius Lubala, baada ya kurudisha kadi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chadema

Katibu
Mkuu wa Baraza la Vijana Taifa la Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(BAVICHA), Julius Mwita (kushoto), akimkabidhi kadi ya chama hicho,
Mwenyekiti wa Kijiji cha Udomo Kata ya Uchama Jimbo na Wilaya ya Bukene
mkoani Tabora, Julius Lubala, baada ya kurudisha kadi ya Chama Cha
Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chadema katika mkutano wa hadhara
uliofanyika kijijini hapo.
No comments:
Post a Comment