Header Ads

Angalia Unyanyasaji wa watoto kwa wadada wa kazi (yaya)





Tafadhali naomba uiangalie hiyo Video Clip niliyo kutumia hapo ni
Muhimu sana kuliko vitu vyote ambavyo nimesha wahi kutuma kwako na kisha
Tafadhali sambaza kwa watu wote ulionao kwenye what's app yako na
Groups zote mpaka tujue hili swala limefikia wapi na kuhusu ‪#‎Unyanyasaji‬ wa ‪#‎Watoto‬

NB:Tafadhali sambaza hata kama ni Nje ya Tanzania ndugu yangu mpaka tupate muafaka wa huo ‪#‎Unyama‬ & Pia iwafikia wazazi wote ambao hawajipangi!.

1.Nunua BabyCam na Uitege mahali ambako hata huyo ‪#‎Dada‬ hataigusa.
2.Kuwa na Jirani ambaye angalau atakuwa anapita mara kwa mara kuwaangalia wanaendeleaje hata kama unamlipa ( Mtoto ni ‪#‎Priceless‬ )
3.Piga simu Nyumbani mara kwa mara kujua hali ya mtoto kama Amekula etc.

4.Jenga Tabia ya Kurudi Nyumbani Muda Tofauti upatapo nafasi ofisini (
Surprise ) kwamba #Dada Asijue Muda wako rasmi wa kurudi nyumbani!.


ie:KAMA UNAZO TIPS ZA ZIADA AMBAZO ZINAWEZA KUSHAIDIA TAFADHALI ONGEZEA
HAPO & PIA KUMBUKA KU-SHARE HIYO VIDEO NA HAYA & YALE MAANDISHI
YA MWANZO NILIYOTUMA NAYO!.

Pole Sana najua umeumia ‪#‎Roho‬!.

bofya hapa kuangalia unyanyasaji huo

 

No comments:

Powered by Blogger.