WAZIRI UMMY MWALIMU ATAKA HALMASHAURI YA KINONDONI KUSIMAMIA SHERIA ZA MAZINGIRA
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya
Kinondoni Mhandisi Mussa Natty(kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Ofisi ya
Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu wakati wa ziara ya kujifunza masuala ya usimamizi
wa taka zinazozalishwa katika halmashauri hiyo.
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Mhandisi Mussa Natty (kushoto)
akizungumza na Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu wakati wa
ziara ya kujifunza masuala ya usimamizi wa taka zinazozalishwa katika
halmashauri hiyo.Kulia ni wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais na watendaji
wa halmashauri hiyo.
Naibu
Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu, akizungumza na watendaji wa
kata za manispaa ya Kinondoni(hawapo pichani) wakati wa ziara hiyo.Kulia ni
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Mhandisi Mussa Natty.
Badhi
ya watendaji wa kata mbalimbali za manispaa ya Kinondoni wakimsikiliza Naibu
Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu, wakati alipotembelea kujifunza
masuala ya usimamizi wa taka zinazozalishwa katika halmashauri hiyo.
No comments:
Post a Comment