Header Ads

MBATIA ACHANGIA MILIONI 20 UJENZI WA BWENI SHULE YA SEKONDARI PAKULA ILIYOPO JIMBO LA VUNJO

Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa Mh James Mbatia akiongozana na makamu mwenyekiti wa shule ya sekondari Pakula Julius Furaha(mwenye suti ya Blue) baada ya kupokelewa kwa ajili ya mahafali na harambee ya ujenzi wa Bweni.
Baada a mchango huo kina mama walimbeba Mbatia huku wakishangilia

No comments:

Powered by Blogger.