Tanzania yajitosheleza kwa chakula kwa asilimia 124
Waziri
wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza akizungumza
na waandishi wa habari ( hawapo pichani) juu ya mafanikio ya uzalishaji
wa chakula nchini kwenye viwanja vya Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa
Taifa (NFRA) jijini Dar es Salaam leo.
Waziri
wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza akizungumza
na waandishi wa habari ( hawapo pichani) kwenye viwanja vya Wakala wa
Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni
Mkuregenzi wa Mipango na Uendeshaji wa NFRA, Anna Ngoo.
Waziri
wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza akizungumza
na waandishi wa habari ( hawapo pichani) kwenye viwanja vya Wakala wa
Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA)
Charles Walwa na kushoto ni Mkuregenzi wa Mipango na Uendeshaji wa NFRA,
Anna Ngoo.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) na
waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Mhandisi Christopher Chiza.
Waziri
wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza, akiangalia
magunia ya vyakula yaliyohifadhi wa kwenye ghala la Wakala wa Hifadhi ya
Chakula wa Taifa (NFRA) baada ya kuzungumza na waadhishi wa habari
jijini Dar es Salaam leo.
Waziri
wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza, akitoa
ufafanuzi kwa mmoja wa waandishi wa habari kabla ya kuondoka kwenye
viwanja vya Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA).Kulia ni Afisa
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) Charles
Walwa. Picha na Hussein Makame-MAELEZO.
No comments:
Post a Comment