WATU NANE WAJERUHIWA VIBAYA NA BOMU JIJINI ARUSHA
mmoja wa mtu alielipuliwa na bomu katika mgahawa
wa
Traditional Indian Cusine aliyejukilana kwa jina la Deepak Gupta (25)
akiwa amelazwa katika hospitali ya seliani ndani ya chumba cha
mahututi (ICU) mara baada ya kukatwa mguu wake mmoja wa kushoto
kutokana na mguu huo kuumizwa sana na bomu hilo.
Traditional Indian Cusine aliyejukilana kwa jina la Deepak Gupta (25)
akiwa amelazwa katika hospitali ya seliani ndani ya chumba cha
mahututi (ICU) mara baada ya kukatwa mguu wake mmoja wa kushoto
kutokana na mguu huo kuumizwa sana na bomu hilo.
Mtoto Manci Gupta akiwa
amelala anasikilizia maumivu ya miguu aliyoumia mara baada ya
kulipukiwa na bomu yeye na familia yao wakati wameenda kupata chakula
cha usiku katika mgahawa huo
mama Munisha Gupta (42) pamoja na mme wake
Mahush
Gupta (42) akiwa wameegemeana wote wamezurika katika mlipuko wa bomu hilo wakati wameenda kupata chakula cha usiku
Gupta (42) akiwa wameegemeana wote wamezurika katika mlipuko wa bomu hilo wakati wameenda kupata chakula cha usiku
picha ikionyesha askari wa jeshi la
wananchi kitengo cha mabom wakiwa
katika eneo la tukio ambalo bumu lilirushwa ndani ya mgahawa wa
ujulikanao kwa jina la Traditional Indian Cusine ulipo pembeni ya
hotel ya gmkana.
katika eneo la tukio ambalo bumu lilirushwa ndani ya mgahawa wa
ujulikanao kwa jina la Traditional Indian Cusine ulipo pembeni ya
hotel ya gmkana.
muonekano wa eneo la tukio.
SEHEMU ambayo inasemekana bomu lilitua mara
baada ya kutupwa.
![]() |
| Mkurugenzi wa tiba ambaye pia ni kaimu mgamga mkuu wa hospitali ya Seliani Dr. Paulo akiongea na waandishi wa habari |
Na Woinde Shizza,Arusha.
Mlipuko
unaosadikiwa ni bomu umelipuka usiku wa kuamkia leo
jijini Arusha katika mgahawa wa Traditional Indian Cusine
uliopo pembezoni
mwa hotel ya Gymkana jijini hapa na kujeruhi watu nane.
Akithibitisha
kupokea wagonjwa walioathiriwa na bomu
hilo, Mkurugenzi wa tiba ambaye pia ni
kaimu mganga mkuu wa hospitali ya Seliani Dr. Paulo Kisanga
alisema kuwa tukio hilo lilitokea majira ya
saa 4:30 usiku katika eneo kwani walianza kupokea wagonjwa hao kuanzia majira
ya saa tano kasoro na saatano .
Alisema kuwa
walipokea wagonjwa nane ambao waliumia sana
katika maeneo ya miguu ambapo alibainisha kuwa katika wagonjwa hao na ne kuna
mmoja ambaye aliletwa akiwa na hali mbaya sana kitu ambacho kiliwalazimu
kumfanyia upasuaji usiku huo huo.
"kati
yawagonjwa hao nane,mmoja alikutwa akiwa mahututi ,kwani mguu wake ulikuwa umeathiriwa sana na bomu hilo ,ivyo
ikatulazimu kumkata mguu mmoja wa kushoto ,mgonjwa huyo ambaye tumemkata mguu anaitwa
Deepak Gupta (25) mwanaume,na sasa ivi anaendelea vyema kidogo na yupo
katika chumba cha ICU ndani ya hospitali hii yetu ya Seliani"alisema
Kisanga
Alisema
kuwa katika
majeruhi au nane aliowapokea wanawake wako watatu huku wanaume wakiwa watano na
kubainisha kuwa wote wameshafanyiwa upasuaji na wapo wodini kwa ajili ya
uangalizi wa madaktari
Aidha aliwataja
majeruhi hao kwa majina kuwa ni pamoja
na Vinod Suvesh(37), Ritwik Khandelval
(13),Raj Rajin(30),Prateck Saver,manci Gupta(14) ,Manisha Gupta (36),Mahush
Gupta(42) pamoja na Deepak Gupta (25)
wote wakiwa na asili ya kiasia.
Kisanga alisema
kuwa kwa mujibu wa wagonjwa hao walio waliofika hapo hospitali
walidai kuwa bomu hilo lilirushwa kwa kupitia
dirishani.





No comments:
Post a Comment