Usiku wa jana(Julai 10), Diamond Platnumz amethibitisha msemo usemao “Hakuna Mahala kama Nyumbani”
baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere
akitokea nchini marekani katika ziara ya kimuziki na kukutana na sapraiz
baab kubwa toka kwa ndugu, jamaa, marafiki na mashabiki waliojitokeza
kwa wingi uwanjani hapo kumpokea huku wakiwa wamebeba mabango yakiwa na
ujumbe wa kumkaribisha nyumbani. Tazama picha zaidi hapo chini
Mashabiki wakiwa kwenye viunga vya uwanja wa ndege na mabango yao wakimsubiria Diamond





Mashabiki wa Diamond wakiwa na kiu ya kumuona shujaa wao
Diamond akihojiwa na waandishi wa habari baada ya kutua jijini Dar es salaam
Wema akiongoza msafari wa mashabiki kuelekea kumpokea Laaziz wake
Eti! Nani amenuna?? Diamond na Wema wakisalimia kwa bashasha
Diamond akisindikizwa na mashabiki kuelekea kwenye mkoko wake
No comments:
Post a Comment