WAKUU WA IDARA, MANISPAA NA HALMASHAURI ZA UNGUJA WAPATIWA MAFUNZO JUU YA HAKI ZA BINADAM.
Sehemu
ya washiriki wa mafunzo ya siku nne ya Wakuu wa Idara, Manispaa na
Halmashauri za Unguja kuhusu mpango kazi wa kitaifa wa haki za binadam,
yalioandaliwa na Tume ya Haki za Binadam na Utawala Bora. katika ukumbi
wa Eacrotanal Mjini Zanzibar.
Kamishna
Tume ya Haki za Binadam na Utawala Bora Zanzibar Zahor Juma Khamis
akifungua mafunzo ya siku nne ya Wakuu wa Idara, Manispaa na Halmashauri
za Unguja kuhusu mpango kazi wa kitaifa wa haki za binadam, (kulia)
Mkurugenzi wa Haki za Binadam na Utawala Bora Francis Nzuki na (kushoto)
Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serekali Ofisi ya Dar
es Salaam Bi. Alesia Mbuya
Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serekali Bi. Alesia Mbuya akiteta kitu na Kamishna wa Tume ya Haki za Binadam na Utawala Bora Zanzibar Zahor Juma.
Kamishna
Tume ya Haki za Binadam na Utawala Bora Zanzibar, Zahor Juma (alievaa
koti) katika picha na washiriki wa mafunzo ya siku nne ya Wakuu wa
Idara, Manispaa na Halmashauri za Unguja yanayofanyika Eacrotanal Mjini
Zanzibar. (Picha na Makame Mshenga wa Maelezo Zanzibar).
No comments:
Post a Comment