RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA KANALI MSTAAFU ALI MWANAKATWE JIJINI DAR LEO
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya
Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe wakati wa hafla ya kuaga
mwili wa marehemu katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH) Lugalo, jijini Dar
es Salaam leo Juni 9, 2014.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba na maafisa waandamizi wa jeshi na waombolezaji wakiwa katika shughuli ya kuaga mwili wa Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH) Lugalo, jijini Dar es Salaam leo Juni 8, 2014.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwenya shughuli
ya kuaga mwili wa Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe
aliyefariki dunia Jumamosi asubuhi katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH)
Lugalo, jijini Dar es Salaam.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akifariji wafiwa kwenya shughuli ya kuaga
mwili wa Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe aliyefariki
dunia Jumamosi asubuhi katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH) Lugalo,
jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment