ROSE MUHANDO KUZINDUA ALBAMU YAKE YA FACEBOOK AGOSTI 3/2014 JIJINI DAR
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi
wa habari kwenye viwanja vya Karimjee leo wakati alipokua akitangaza
Uzinduzi mkubwa wa Albam ya Shikilia Pindo maarufu ka FACEBOOK ya
mwimbaji wa muziki wa injili anayevuma, Rose Muhando utakaofanyika
kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Agosti 3 /2014 jijini Dar es salaam,
ambapo amesema baadhi ya mapato yatakwenda kuviwezesha mitaji zaidi ya
vituo 10 vya watoto yatima jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment