PSPF, BENKI YA POSTA WAZINDUA HUDUMA YA MKOPO KWA WASTAAFU
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba kuelezea huduma hiyo mpya ya "Wastaafu Loan" Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi, akitoa hotuba yake.…
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba kuelezea huduma hiyo mpya ya "Wastaafu Loan" Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi, akitoa hotuba yake. Mkurugenzi
wa Fedha na Utawala wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Masha Mshomba,
akiwakaribisha wageni waalikwa na kuwatambulisha maafisa wa Mfuko huo. Mstaafu na Mwanachama wa PSPF, Eunice Temu, akitoa hotuba ya shukrani. Msanii Mrisho Mpoto naye alikuwepo. Katibu Mkuu Kiongozi (Mstaafu), Philemon Luhanjo, ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo, akitoa hotuba yake. Baadhi
ya maafisa wa benki ya posta Tanzania (TPB) na wenzao wa PSPF,
wakifuatilia magtukio yaliyokuwa yakitokea kwenye uzinduzi huo. Katibu
Mkuu Kiongozi (Mstaafu), Philemon Luhanjo (Kulia), akiongozwa na
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu (Kushoto) na
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, mara baada ya kumalizika kwa
hafla ya uzinduzi wa huduma ya "Wastaafu Loan" jijini Dar es Salaam
Juni 20, 2014 Katibu
Mkuu Kionmgozi (Mstaafu), Philemon Luhanjo (Wapili kushoto), Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayigu(Wapili kulia),
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, (TPB), Sabasaba Moshingi),
Wakwanza kulia) na Mstaafu Eunice Temu, wakiwa wamenyanyua juu mikono
kuashiria uzinduzi wa mpango wa mfuko huo kuwakopesha wastaafu amabao ni
wanachama wake kupitia benki ya Posta "Wastaafu Loan",. Hafla ya
uzinduzi huo ulifantyika jijini Dar es Salaam jana.
PICHA NA PSPF
No comments:
Post a Comment