HICHI NDICHO KILICHOSEMWA BUNGENI JUU YA PICHA CHAFU ZINAZOSAMBAZWA MITANDAONI ZA WATU MAARUFU
Baada ya kauli hiyo Spika wa bunge Mhe. Anne Makinda alikazia akitaka
majibu juu ya picha za juzi zilizosambaa zikimuonyesha Mhe. Komba akiwa
na binti mdogo ambazo mwenyewe alisema si zake na wabunge kuonekana
wakitaka majibu ambapo Mhe. Mbarawa anasema.
“Mhe. Spika kuhusu picha za juzi zilizosambaa mitandaoni
tunazifuatilia kujua zimeanzia wapi na taarifa zake zikoje kwani hata
mimi bado sijaziona ila tutachukua hatua tutakapobaini zilipotoka.”
No comments:
Post a Comment