BET AWARDS NI DIAMOND TENA LEO
KUMEKUCHA! Unaweza kusema kwa maana nyingine wakati
wasanii kutoka Afrika watakapokuwa pamoja kwenye Ukumbi wa Nokia Theatre
uliopo Los Angeles, Marekani katika sherehe za utoaji tuzo za BET 2014
leo Juni 29.
Macho na masikio yote yameelekezwa kwa mtu mmoja kutoka Tanzania ambaye ni Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’.
Macho na masikio yote yameelekezwa kwa mtu mmoja kutoka Tanzania ambaye ni Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’.
No comments:
Post a Comment