Header Ads

Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakiwa wanaendelea kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima kudai Katiba ya wananchi, bado viongozi hao wanasisitiza kwamba kamwe hawatarudi kwenye Bunge la Malaamu la Katiba kama njia za kistaarabu za kuwaomba warudi hazitatumika.

Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje akihutubia umati wa wakazi wa jiji la Mwanza kwa tiketi ya Ukawa. Picha na Aidan Mhando  
---
 Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakiwa wanaendelea kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima kudai Katiba ya wananchi, bado viongozi hao wanasisitiza kwamba kamwe hawatarudi kwenye Bunge la Malaamu la Katiba kama njia za kistaarabu za kuwaomba warudi hazitatumika.
Kabla ya kuanza kuzunguka mikoani, Ukawa walianza kampeni za kudai Katiba inayotokana na maoni ya wananchi kupitia Bunge Maalumu la Katiba.
Ukawa wanapinga mchakato huo kutekwa na CCM, kwa madai kuwa wamekuwa wakitumia wingi wao ndani ya Bunge hilo kuchakachua maoni yaliyotolewa na wananchi kupitia Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

No comments:

Powered by Blogger.