SALAMA JABIR AKUTANA USO KWA USO NA SHAQ O’NEALL NCHINI MAREKANI
Mtangazaji asiyehishiwa na vituko kila kukicha wa kipindi cha Mkasi Tv ‘Salama Jabir’ au Kistuli ameachia picha za kutosha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiponda raha nchini Marekani sambamba na familia ya mcheza kikapu wa ‘Oklahoma City Thunder’ Mtanzania Hasheem Thabeet .
Akiwa nchini humo, Mtangazaji huyo ameweza kupata nafasi ya kutokelezea katika picha ya pamoja na wachezaji wakongwe wa mpira wa kikapu akiwemo ‘Shaquille O’neal’ pamoja na mchezaji wa zamani wa Houston Rockets ‘Charles Chuck Barkley’. Unaweza ukatazama picha hapo chini
Barrthabeet, Dully Boy na Salama mitaa fulani hivi.
salama akiwa na familia ya Hasheem
Thabeet kwenye hafla ya kumpongeza dada wa Hasheem ‘Sasha Thabeet’ kwa
kuhitimu masomo yake .
No comments:
Post a Comment