RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA KULA KIAPO ZA RAIS ZUMA WA AFRIKA KUSINI LEO
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika
Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini
Pretoria kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya
Kusini leo Mei 24, 2014.
Rais
Jacob Zuma akila kiapo katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo
la Union Buildings mjini Pretoria wakati wa sherehe za kuapishwa kwake
leo Mei 24, 2014.
Ndege za kijeshi zikiunda umbo la "20" kuashiria kutimia miaka ishirini ya uhuru kamili wa Afrika Kusini katika sherehe za kuapa Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini kwenye ukumbi wa wazi wa Mandela katika jingo la Union Buildings mjini Pretoria, Afrika Kusini, leo Mei 24, 2014.
Marais na viongozi toka nchi mbalimbali wakiondoka Union Buildings baada ya kushuhudia Rais Jacob Zuma akiapa kuwa Rais wa Afrika Kusini kwenye ukumbi wa wazi wa Mandela katika jingo la Union Buildings mjini Pretoria, Afrika Kusini, leo Mei 24, 2014 PICHA NA IKULU

.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment