 |
| Balozi
wa Urusi anayefanyakazi hapa nchini Alexander Rannikh akiwa na
waumini wenzake wakipewa Baraka na Askofu wa Dhehebu ya
Orthodox Askofu Dimitrios wakati wa Ibada ya Kusherehekea Sikukuu ya
Pasaka iliyowashirikisha Waumini mbalimbali wakiwemo
Watanzania,Wagiriki na Warusi.Ibada hiyo iliafanyika jijini Dar es
Salaam.
|
 |
| Balozi
wa Urusi anayefanyakazi hapa nchini Alexander Rannikh akipewa Baraka
na Askofu wa Dhehebu ya Orthodox Askofu Dimitrios wakati wa Ibada
ya Kusherehekea Sikukuu ya Pasaka iliyowashirikisha Waumini
mbalimbali wakiwemo Watanzania,Wagiriki na Warusi.Ibada hiyo iliafanyika
jijini Dar es Salaam. |
 |
| Balozi
wa Urusi anayefanyakazi hapa nchini Alexander Rannikh, akiteta jambo
na Askofu Mkuu wa Dhehebu ya Orthodox Askofu Dimitrios baada ya
kumalizika kwa Ibada ya Kusherehekea Sikukuu ya
Pasaka iliyowashirikisha Waumini mbalimbali wakiwemo
Watanzania,Wagiriki na Warusi.Ibada hiyo iliafanyika jijini Dar es
Salaam |
 |
| Balozi
wa Urusi anayefanyakazi hapa nchini Alexander Rannikh akiwa na
waumini wenzake wakipewa Baraka na Askofu wa Dhehebu ya
Orthodox Askofu Dimitrios wakati wa Ibada ya Kusherehekea Sikukuu ya
Pasaka iliyowashirikisha Waumini mbalimbali wakiwemo
Watanzania,Wagiriki na Warusi.Ibada hiyo iliafanyika jijini Dar es
Salaam.
|
Baadhi
ya Waumimi wa Dhehebu ya Orthodox wakiwa katika Ibada ya
kusherehekea ufufuko wa Yesu Kristu (Pasaka) iliyofanyika katika Kanisa
hilo lililpo eneo la Red Cross jijini Dar es Salaam. Picha na Albart Jackson
No comments:
Post a Comment