SOMA MANENO MAALUM KUTOKA KWA RIDHIWANI KIKWETE
Ridhiwani Kikwete
--
Baada
ya safari ya miaka 34 ya kutembea duniani na mafanikio ambayo mungu
amenipa , naomba kutumia kurasa huu kuwashukuru tena ninyi wazazi
wangu,marafiki zangu, wananchi wenzangu wa Chalinze kwa heshima kubwa
mliyonipa.
Ninapoingia mwaka wa 35 wa maisha yangu hakika ni
kumshukuru mungu kwa yote aliyonitendea na familia yangu kwa kuwa pamoja
nami.Lililo mbele yangu ni utumishi uliotukuka na kuendeleza urafiki na
kujenga mahusiano mema.
THANK U ALL.
Ridhiwani Kikwete
No comments:
Post a Comment