RAIS KIKWETE AONANA NA RAIS MSTAAFU WA NAMIBIA MHE. SAM NUJOMA,IKULU JIJINI DAR JANA
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimtembezea sehemu mbali mbali za Ikulu
na Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma aliyemtembelea leo April 27,
2014. Mhe Nujoma alikuwa ni mmoja wa watu mashuhuri waliohudhuria
sherehe za miaka 50 ya Uhuru jana.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam
Nujoma Ikulu jijini Dar es salaam aliyemtembelea leo April 27, 2014. Mhe
Nujoma alikuwa ni mmoja wa watu mashuhuri waliohudhuria sherehe za
miaka 50 ya Uhuru jana.
.jpg)
.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment