Picha na Taarifa:Serikali imeweka mikakati madhubuti kupambana na magonjwa yasiyoambukiza hapa nchini

Meneja Masoko na Elimu kwa Umma toka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ( NHIF) Bi Anjela Mziray akiwaeleza waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam kuhusu programu ya upimaji wa Afya kwa wananchi kwa magonjwa yasiyoambukiza inayoendeshwa na mfuko huo hapa nchini.kulia ni Meneja Uhakiki na Madai wa mfuko huo Dk.Clement Masanja na kushoto ni Afisa habari ,Idara ya Habari Maelezo Bi Fatma Salum.
No comments:
Post a Comment