Picha Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Akutana Kwa Mazungumzo na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Ben Rugangazi IKULU Jijini Dar es Salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akimkaribisha na kuzungumza na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Mhe.Ben
Rugangazi aliyekwenda ikulu jijini Dar es Salaam kuagana na Rais baada
ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.Picha na Freddy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment