Header Ads

NMB YATOA MSAADA WA MASHUKA KWA HOSPITALI YA MWANANYAMALA





Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dkt. Kariamel Wandi(kushoto) akimshukuru Meneja wa NMB kanda ya Dar es salam Bw. Salie Mlay kwa kumkabidhi vifaa vya hosipitali vilivyotolewa na benki ya NMB kwa kwa Hospitali ya Mwananyamala .Vifaa hivi vyenye thamani ya shilingi milioni tano vilikabidhiwa hivi karibuni katika viwanja vya Hospitali hiyo. Akishuhudia makabidhiano haya ni Meneja wa NMB Tawi la Msasani Bi.Mary Ngallawa.

Meneja wa NMB tawi la Msasani Bi. Mary Ngallawa Pamoja na Maofisa wa Hospitali ya Mwananyamala wakiyafurahia mashuka yaliyotolewa na benki ya NMB kwa ajili ya kupunguza uhaba wa mashuka unaoikabili Hospitali hiyo.

No comments:

Powered by Blogger.