MAMA SALMA KIKWETE AKABIDHIWA CHETI CHA ULEZI WA HIARI WA CHAMA CHA WENZA WA MABALOZI WA AFRIKA WALIOKO UBELGIJI
Mke wa
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Mama Adelaida Kamala akimkabidhi
Cheti Maalum cha ulezi wa heshima cha wenza wa mabalozi wa Afrika
walioko Ubelgiji, Mke wa Rais wa Cameroon Mama Chantal Biya wakati wa
chakula cha mchana walichowaandalia wageni hao kwenye hoteli ya Sheraton
tarehe 2.4.2014.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wake wa Marais
na Wakuu wa nchi za Afrika pamoja wa wenza wa Mabalozi wa nchi hizo mara
baada ya kupata chakula cha mchana kilichoandaliwa na wenza hao tarehe
2.4.2014.
No comments:
Post a Comment