Wizara ya Kilimo na Sekretariet ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
Mkurugenzi Msaidizi Afya ya Mimea,Wizara ya Kilimo
Chakula na Ushirika Bw. Fabian Nkondo akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu
hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuwaelimisha wananchi kuhusu maboresho
katika Sekta ya Kilimo ili kuleta Tija.
Msemaji wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Bw.
Richard Kasuga akiwaeleza waandishi wa habari
kuhusu tahadhari ya kutokea viwavi jeshi hapa nchini hivyo wananchi
kutakiwa kuchukua tahadhari. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya habari Maelezo
na kushoto ni Mkurugenzi Msidizi Afya ya
Mimea,Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Bw. Fabian Nkondo.
Afisa habari Mwandamizi wa Ofisi ya Rais Sekretarieti
ya Ajira katika utumishi wa Umma Bi Riziki Abrahamu akiwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu
waombaji kazi kujiandaa vyema ili kukidhi vigezo vya usaili, na kushoto ni Afisa Udhibiti na Ubora wa Sekretarieti hiyo bw. Chistopher
Liganga.
Afisa
habari Mwandamizi wa Ofisi ya Rais
Sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa Umma Bi Riziki Abrahamu
akiwaonyesha
waandishi wa habari moja ya nakala ya maombi ya ajira isiyokidhi vigezo
hali
inayosababisha waombaji wengi wenye sifa kushindwa kupata ajira
Serikalini.
Kulia ni Afisa Habari Idara ya Habari Maelezo Frank Mvungi na kushoto
ni Afisa Udhibiti na Ubora wa Sekretarieti hiyo bw. Chistopher
Liganga.
No comments:
Post a Comment