Header Ads

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernarda Membe Akutana na Mabalozi wa Nchi za Kiafrika Wanachama Wa Jumuiya ya Madola Jijini London Uingereza


 Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Peter Kallaghe akimkaribisha Mhe. Bernard Membe, Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha Mawaziri wa Nchi za Jumuiya ya Madola kuzungumza na Mabalozi wa Nchi za Kiafrika wanachama wa Jumuiya hiyo.
 Mhe. Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania akiwa kwenye kikao na Mabalozi wa Nchi za Afrika Wanachama wa Jumuiya ya Madola jijini London, pembezoni mwa kikao cha Mawaziri wa Kikosi Kazi cha Jumuiya hiyo.

No comments:

Powered by Blogger.