Waziri Mkuu Mizengo Pinda Azindua Rasmi Tovuti ya Taasisi ya Figo nchini baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya kilele cha wiki ya Afya ya figo kwenye viwanja wa Nyerere mjini Dodoma

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizindua Tovuti ya Taasisi ya Figo nchini baada ya kuhutubia katika
maadhimisho ya kilele cha wiki ya Afya ya figo kwenye viwanja wa
Nyerere mjini Dodoma Machi 13, 2014.

Waziri Mkuu, MIzengo Pinda
akizungumza na watalaamu wa magonjwa ya figo katika maadhimisho ya
kilele cha wiki ya Afya ya Figo, kwenye viwanja vya Nyerere mjini
Dodoma Machi 13, 2014.Kutoka kushoto ni Dr. Tulizo Sanga wa Muhimbili,
Kulindwa Kasubi wa Muhimbili na Regina Ringo wa Hospitali ya Mirembe ya
Dodoma. Katikati ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mwenyekiti wa wa
Taasisi ya Taifa ya Figo Tanzania Jaji Frederick Werema na kushoto kwake
ni Dr. Linda Ezekiel kutoka Wizara ya Afya.

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na baadhi ya viongozi baada ya kuhutubia
katika maadhimisho ya kilele cha wiki ya Afya ya Figo kwneye viwanja
vya Nyerere mjini Dodoma Machi 13, 2014. Kushoto ni Naibu Waziri wa
Afya, Dr. Kebwe Stephen Kebwe na kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mwanasheria
Mkuu wa serikali na Mwenyekiti wa Taasisi ya Taifa ya Figo, Jaji
Frederick Werema.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment