TAZAMA PICHA MBALIMBALI KUTOKA KAMPENI ZA CCM CHALINZE:JIONEE JINSI KATIBU MKUU WA CCM ABDURAHMNA KINANA NA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENDEZI WA CCM NAPE NNAUYE WALIVYOTIKISA KAMPENI ZA MGOMBEA WA JIMBO LA CHALINZE-RIDHIWAN JAKAYA KIKWETE

Riz akizungumza na watoto baada ya mkutano wake wa kampeni Msolwa

Ridhiwani akisalimiana na Abiba Samweli baada ya mkutano wake wa kampeni kijiji cha Msolwa
Kinana akizungumza na wananchi katika kijiji cha Msolwa

Vijana wakishangilia CCM, Mdaula

Mgombea
wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,
Ridhiwani Kikwete na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana,
wakiwapungia mikono wananchi walipowasili kwenye mkutano wa hadhara
katika kijiji cha Ubena Zomozi jana

No comments:
Post a Comment